Hayo yamesemwa Januari 15, 2026 jijini Dodoma na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na michezo wakati wakipitishwa kwenye Muundo, majukumu na Sheria.
Wajumbe wa Kamati hiyo wameeleza kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mageuzi ya elimu, na kwamba wapo tayari kushirikiana Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknojia katika kuhakikisha mageuzi hayo yanatekelezwa kwa ufanisi.










No comments:
Post a Comment