WAZIRI MKUU AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, January 23, 2026

WAZIRI MKUU AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 23, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu anatarajiwa kutembelea Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda, kukagua Meli ya Ambulance, kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Kusukuma na Kuhifadhi Maji, pamoja na kuzindua Meli ya MV Mwanza.

No comments:

Post a Comment