
Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb.) kulia, akipokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB, ya kipindi cha miaka 10 tangu ianzishwe mwaka 2015-2025, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Frank Nyabundege, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.

(Picha na KItengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Dodoma)

No comments:
Post a Comment