RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA UMOJA WA AFRIKA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, February 12, 2026

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA UMOJA WA AFRIKA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Februari, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2026 kabla ya kuondoka nchini kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

No comments:

Post a Comment