TANZANIA YAENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, February 16, 2026

TANZANIA YAENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI



#HABARI PICHA. Waziri wa Madini wa Tanzania, Anthony Mavunde, akizungumza wakati wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania, lililoandaliwa na Breakthrough Attorneys kwa ushirikiano na Benki ya NMB.

 

No comments:

Post a Comment