
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akiwasili ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa Tatu Kikao cha Ishirini tayari kwa ajili ya Uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.


No comments:
Post a Comment