BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA WIZARA YA ELIMU 2026 /2027 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, May 8, 2026

BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI YA WIZARA YA ELIMU 2026 /2027


BUNGE limeipitisha bajeti ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ya Sh trilioni 2.39 yenye Vipaumbele vitano.

Bajeti hiyo imepitishwa leo Mei 8,2026 bungeni mara baada ya Wabunge kupata nafasi ya kuchangia kwa siku mbili Mei 7-8.

Awali akijibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa na WabungeWaziri wa Wizara hiyo,Prof Adolf Mkenda amewashukuru Wabunge kwa michango yao huku akimshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya Wizara hiyo.

No comments:

Post a Comment