DKT. MKAMA APONGEZA MCHANGO WA REA KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, June 2, 2026

DKT. MKAMA APONGEZA MCHANGO WA REA KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA


Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Mkama akizungumza mara bada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayochangia katika kupunguza athari za uharibifu wa mazingira leo kwenye banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati wa Maonesho ya Siku ya Mazingira yanayofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Mkama akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Wakala inayochangia katika kupunguza athari za uharibifu wa mazingira kwenye banda la REA leo kwenye Maonesho ya Siku ya Mazingira yanayofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Mkama katika picha ya pamoja na Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na wadau mara baada ya kutembelea Maonesho ya Siku ya Mazingira leo Juni 2, 2026 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Mkama akimsikiliza Mha. Francis Manyama kutoka Idara ya Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala wakati akielezea utekelezaji wa miradi ya Wakala inayochangia katika kupunguza athari za uharibifu wa mazingira leo kwenye Maonesho ya Siku ya Mazingira yanayofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment