Mkutano unalenga kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya TANROADS, maendeleo ya miradi ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja, pamoja na mipango na mwelekeo wa Wakala katika kuboresha miundombinu ya barabara nchini
Mkutano na Waandishi wa Habari ukiongozwa na Mhandisi Mohamed Besta, Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Dodoma


No comments:
Post a Comment