MWENGE WA UHURU WAZINDUA BARABARA YA LAMI NZEGA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, September 21, 2026

MWENGE WA UHURU WAZINDUA BARABARA YA LAMI NZEGA


Na Mwandishi Wetu - Nzega


Mwenge wa Uhuru 2026 umezindua mradi wa barabara ya Lumambo–Kitongo FDC yenye urefu wa km 1.750 na thamani ya bilioni 1.751.

Barabara hiyo iliyojengwa kwa kiwango cha lami ina lenga kuimarisha usafiri na usafirishaji, kuchochea shughuli za kiuchumi, biashara, kurahisisha wananchi kufikia huduma pamoja na kuupa Mji wa Nzega sura na hadhi mpya.

No comments:

Post a Comment