DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA BUNGE YA BARAZA LA MAWAZIRI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 31, 2026

DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA BUNGE YA BARAZA LA MAWAZIRI


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo (Jumamosi, Oktoba 31, 2026) ameongoza Kikao cha Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mawaziri na naibu mawaziri wa wizara mbalimbali.



No comments:

Post a Comment