LIVE ; UFUNGUZI WA MKUTANO WA MADINI NA UWEKEZAJI TANZANIA 2026. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, November 19, 2026

LIVE ; UFUNGUZI WA MKUTANO WA MADINI NA UWEKEZAJI TANZANIA 2026.



Hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa Madini na Uwekezaji Tanzania kwa mwaka 2026, Mkutano huu unawakutanisha Wadau Mbalimbali wa Utafutaji na Uchimbaji wa Madini na Watunga Sera kwa Lengo la kubadirishana Ujuzi na Uzoefu pamoja na kuaangalia changamoto mbalimbali , Mkutano huu wa siku tatu unaohudhuiriwa na Wageni kutoka nchi mbalimbali Duniani unafanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa Cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam JNICC kuanzia tarehe 19- 21 November 2026. 

Ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.



No comments:

Post a Comment