Pichaz 8 za mkali wa movie kutoka Hollywood Van Damme alivyotembelea mazoezi ya Man City - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, November 20, 2015

Pichaz 8 za mkali wa movie kutoka Hollywood Van Damme alivyotembelea mazoezi ya Man City



Staa wa movie kutoka Hollywood Jean-Claude Van Damme mkali ambaye amewahi kutamba na movie kadhaa November 19 alipata nafasi ya kutembelea mazoezi ya klabu ya Manchester City. Staa huyo wa Hollywood yupo jijini Manchester kwa ajili ya shughuli ya ‘black-tie dinner’ ambapo atapata nafasi ya kuoneshwa kwa movie zake.
2E9B924D00000578-3325905-image-a-23_1447960227983
Jean-Claude Van Damme na Vincent Kompany
Jean-Claude Van Damme ambaye ana umri wa miaka 55 alivyotembelea mazoezi ya Man City mastaa wa klabu hiyo hawakuacha kuchukua kumbukumbu zao kwa kupiga picha na staa huyo, wachezaji wa Man City kama Yaya Toure, Vincent KompanyKevin De Bruyne, Sergio Aguero pamoja na kocha wao Manuel Pellegrini hawakusita kupiga picha na Van Damme.
2E9B927C00000578-3325905-The_80s_action_movie_hero_poses_for_a_picture_with_Belgian_compa-m-11_1447959922108
Jean-Claude Van Damme na Vincent Kompany
Mkali huyo wa movie duniani ambaye kwa miaka ya karibuni ametamba katika tangazo la bia, amewahi kutamba katika movie za mapigano zikiwemo BloodsportHard Target na Universal Soldier. Hizi ni baadhi ya pichaz zake alivyotembelea Man City.
2E9B970600000578-3325905-image-a-21_1447960121031
2E9B945600000578-3325905-image-a-20_1447960070642
Jean-Claude Van Damme na golikipa wa Man City Joe Hart
2E9B971E00000578-3325905-image-a-5_1447959538287
Sergio Aguero na Jean-Claude Van Damme
2E9B934600000578-3325905-image-a-8_1447959792555
Jean-Claude Van Damme Kevin De Bruyne
2E9B977000000578-3325905-image-a-10_1447959881627
Kocha wa Man City Manuel Pellegrini akiwa na Jean-Claude Van Damme
0064DDFD00000258-3325905-image-a-17_1447960042452
Universal Soldier hii ni movie aliyotamba nayo miaka ya 1990 aliyoicheza Jean-Claude Van Damme alicheza pamoja na Dolph Lundgren

No comments:

Post a Comment