Taifa Stars imeweka kambi kujiaandaa kuivaa Algeria Novemba 14
jijini Dar es Salaam katika harakati zake za kuwania kucheza Kombe la Dunia.
Mechi ya marudiano itachezwa Novemba 17 jijini Algers. Angalia mandhari ya
kambi yao mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Kambi hiyo ipo katika Hoteli ya Holiday Inn Express jijini hapa
na ina mazingira tulivu na bora.
No comments:
Post a Comment