Yamoto Band walisafiri kwenda Marekani kwa ajili ya shows kwenye miji
mbalimbali na kukutana na Watanzania waishio Marekani ambao kwa kiasi
kikubwa wamekua na kiu ya kuwaona kwenye stage Yamoto ambao ndio mara
yao ya kwanza Marekani na hizi picha kwenye hii post ni za show yao ya
Washington DC.
No comments:
Post a Comment