JANA USIKU Diego Simeone aliiongoza Klabu yake ya Spain Atletico Madrid kuwafunga Vigogo wa Germany Bayern Munich 1-0 katika Mechi ya Kwanza ya Nusu Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI na Mashabiki wengi wa Arsenal wakavamia Mtandao wa Twitter kumshambulia Meneja wao Arsene Wenger.
Mashabiki hao wakaposti na kumtaka Wenger aondoke na badala yake Raia wa Argentina, Diego Simeone, ashike hatamu kama Meneja wa Arsenal ambayo chini ya Wenger haijatwaa Ubingwa wa England tangu 2004 na wala haijabeba UEFA CHAMPIONZ LIGI hata mara moja.
Himaya ya Wenger, ambayo Msimu huu imetikisika sana toka kwa presha ya Wadau wao kutokana na kusambaratika kwa mbio zao za Ubingwa walizoanza vyema, imeduma huko Arsenal tangu Mwaka 1996.
TIZAMA BAADHI YA POSTI ZA TWITTER ZA MASHABIKI WA ARSENAL:
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Aprili 30
[Saa 11 Jioni]
Everton v Bournemouth
Newcastle v Crystal Palace
Stoke v Sunderland
Watford v Aston Villa
West Brom v West Ham
1930 Arsenal v Norwich
Jumapili Mei 1
1400 Swansea v Liverpool
1605 Man United v Leicester
1830 Southampton v Man City
Jumatatu Mei 2
2200 Chelsea v Tottenham
Jumamosi Mei 7
1445 Norwich v Man United
[Saa 11 Jioni]
Aston Villa v Newcastle
Bournemouth v West Brom
Crystal Palace v Stoke
Sunderland v Chelsea
West Ham v Swansea
1930 Leicester v Everton
Jumapili Mei 8
1530 Tottenham v Southampton
[Saa 12 Jioni]
Liverpool v Watford
Man City v Arsenal
Jumanne Mei 10
2145 West Ham v Man United
Jumatano Mei 11
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Norwich v Watford
Sunderland v Everton
2200 Liverpool v Chelsea
Jumapili Mei 15
**Mechi za Mwisho za Ligi, zote kuanza Saa 11 Jioni
Arsenal v Aston Villa
Chelsea v Leicester
Everton v Norwich
Man United v Bournemouth
Newcastle v Tottenham
Southampton v Crystal Palace
Stoke v West Ham
Swansea v Man City
Watford v Sunderland
West Brom v Liverpool
No comments:
Post a Comment