UEFA EUROPA LIGI
Nusu FainaliMechi za Kwanza
Alhamisi Aprili 28
2205 Shakhtar Donetsk v Sevilla
2205 Villarreal v Liverpool
++++++++++++++++++++++
MECHI za Kwanza za Nusu Fainali za UEFA EUROPA LIGI zitapigwa Leo Usiku na Mabingwa Watetezi Sevilla wataanza Ugenini huko Ukraine kucheza na Shakhtar Donetsk.
Klabu ya England Liverpool ipo Ugenini huko Spain kucheza na Villareal.
PATA TAARIFA FUPI ZA KILA KIKOSI:
Shakhtar Donetsk v Sevilla
VIKOSI:
Shakhtar: Pyatov; Srna, Kucher, Rakitskiy, Ismaily; Stepanenko, Malyshev, Marlos, Kovalenko, Taison; Ferreyra.
Nje: Fred (Kifungoni), Azevedo (Majeruhi)
Hatihati: Hamna
Sevilla: David Soria; Coke, Carriço, Kolodziejczak, Escudero; N'Zonzi, Krychowiak; Konoplyanka, Banega, Krohn-Dehli; Gameiro.
Nje: Rami (Majeruhi), Trémoulinas (Majeruhi), Reyes (Mgonjwa), Vitolo (Majeruhi)
Hatihati: Hamna
REFA: Szymon Marciniak (Poland)
Villarreal v Liverpool
VIKOSI:
Villarreal: Asenjo/Aréola; Mario Gaspar, Bailly, VÃctor Ruiz, Rukavina; Castillejo, Bruno Soriano, Trigueros, Denis Suárez; Soldado, Bakambu.
Nje: Baptistão (adductor)
Hatihati: Hamna
Liverpool: Mignolet; Clyne, Lovren, Touré, Moreno; Allen, Firminho, Milner; Lallana, Coutinho; Sturridge.
Nje: Origi (Majeruhi), Can (Majeruhi), Henderson (Majeruhi) Rossiter (Majeruhi), Ings (Majeruhi), Gomez (Majeruhi)
Hatihati: Benteke (Goti)
REFA: Damir Skomina (Slovenia)
UEFA EUROPA LIGI
Nusu Fainali
Mechi za Pili
Alhamisi Mei 5
2100 Sevilla v Shakhtar Donetsk
2100 Liverpool v Villarreal
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KALENDA
Nusu Fainali-Droo: 15 Aprili
Nusu Fainali-Mechi ya Kwanza: 28 Aprili
Nusu Fainali-Mechi ya Pili: 5 Mei
Fainali: 18 Mei, St. Jakob-Park, Basel, Uswisi
No comments:
Post a Comment