Kwa wale ambao jiografia ya makao makuu ya nchi DODOMA inawapiga chenga usiteseke kufikiria sana ni wapi ambapo utapata utulivu wa akili yako kwa upande wa vinywaji na vyakula ni AFRIKOKO PUB pekee sehemu ambako utapatakile unachokihitaji kwa wakati huku ukihudumiwa na wahudumu wasafi na waliovalia sare za kupendeza na kuvutia hakika ni kivutio kikubwa kwa wateja.

AFRIKOKO PUB ni kiwanja chenye kila njonjo hapa mjini DODOMA inapatikana maeneo ya AREA A ,,,,,ukifika njia panda ya AREA C elekea magharibi ni mita chache tuu unafika AFRIKOKO PUB kwa MAMA BONGE au MAMA T.
Kwa upande wa vinywaji sasa kuna Bia aina zote ,Soda aina zote pia kuna maji na Juice kwa ajili yako kumbuka tuu kama utahitaji ya baridi au ya moto ni wewe tuu utakayechagua kile roho yako inapenda.

Kuna vyakula vya kila namna Nyama choma,Michemsho aina zote,Supu,Wali nyama,Wali samaki, chai inapatikana mda wote ukifika AFRIKOKO PUB na vitafunwa aina zote mf,Chapati nyama,chapati kuku. nk
Njoo Wewe, yule na wale hakika huwezi kujutia ukifika AFRIKOKO PUB kwa MAMA BONGE au MAMA T.
Kwa mawasiliano zaidi piga nambari za simu,,
0712 582318 sema haloo MAMA BONGE

No comments:
Post a Comment