Yanga inawaalika watoto wenye vipaji - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, January 5, 2018

Yanga inawaalika watoto wenye vipaji


 
Uongozi wa klabu ya Yanga unatoa taarifa kwa umma kuwa siku ya Jumapili Januari 7, 2018 kwenye uwanja wa Karume kutafanyika usaili wa kusaka vijana wenye vipaji vya kusakata kabumbu.
Wazazi mnaalikwa kuleta vijana wenu ambao wako chini ya umri wa miaka 15.

Usaili huo utaendeshwa na wakongwe waliowahi kutamba kwenye kikosi cha Yanga ambao ni Keneth Mkapa, Maalim Saleh, Edibily Lunyamila na Ramadhani Kampila.

No comments:

Post a Comment