Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken yupo Senegal kituo cha mwisho katika safari yake barani Afrika kuthibitisha tena ushirikiano wa karibu kati ya nchi hizo mbili, wizara ya mambo ya nje Marekani ilisema mapema wiki hii.
Blinken alisema Jumamosi kwamba nchi yake inawekeza barani Afrika bila kuweka viwango vya madeni visivyo endelevu huku akishuhudia kusainiwa kwa mikataba yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni moja katika mji mkuu wa Senegal, Dakar
No comments:
Post a Comment