WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2021/2022, JIJINI DODOMA, LEO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, April 27, 2022

WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2021/2022, JIJINI DODOMA, LEO


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment