Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Instagram wa Afisa habari wa simba Ahmed Ally kuna picha ipo pale ikiwa na na caption isemayo "Asante left footer magician" na kwenye picha yenyewe anaonakana Bwalya huku ikiwa na maneno yasemayo "THANK YOU BWALYA" Kwa maana ya ASANTE BWALYA".
Kwa maana hiyo msimu ujao wa 2022/2023 hatutashuhudia huduma ya kiungo huyu fundi ndani ya kikosi cha simba na kipenzi cha mashabiki wa simba .
OKULY BLOG pia inaungana na uongozi ,wanachama na mashabiki wa simba kumtakia Larry BWALYA mafanikio huko aendako...endelea kusalia hapa hapa kwa habari motomoto.
No comments:
Post a Comment