Mhe.Samia aongoza kikao maalum cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 27, 2022

Mhe.Samia aongoza kikao maalum cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa

HABARl PICHA WAKATI WA KIKAO MAALUM CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoketi katika ukumbi wa NEC (White House), leo Septemba 27, 2022 Makao Makuu ya CCM Dodoma.


No comments:

Post a Comment