Matukio katika Picha :Dkt.Samia akizindua Rasmi Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu mtaji wa watu katika kuboresha maendeleo ya Afrika. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, May 19, 2023

Matukio katika Picha :Dkt.Samia akizindua Rasmi Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu mtaji wa watu katika kuboresha maendeleo ya Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Mabalozi pamoja na Wageni mbalimbali kutoka Nje ya nchi kabla ya kuzindua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 19, 2023 amezindua rasmi Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu mtaji wa watu katika kuboresha maendeleo ya Afrika.


Mkutano utakaofanyika Julai 25-26, 2023, Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment