Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara wa Tanzania (MKUMBI) Kilichofanyika JUNI 7, 2023 katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Wednesday, June 7, 2023
New
MATUKIO KATIKA PICHA:DKT.YONAZI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USIMAMIZI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment