![]() |
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Bw. Mohamed Ali Ahmed akichangia jambo wakati wa Mkutano wa Mazingativu kwa Viongozi, Watumishi na Taasisi za Ofisi ya Waziri Mkuu. |
![]() |
Muwezeshaji Dkt. Chris Mauki akiwasilisha mada katika Mkutano wa Mazingativu unaoendelea Mkoani Arusha, kwa Viongozi, Watumishi na Taasisi za Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) |
![]() |
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima akichangia jambo wakati wa Mkutano wa Mazingativu kwa Viongozi, Watumishi na Taasisi za Ofisi ya Waziri Mkuu. |
Na Mwandishi wetu Arusha
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amewaongoza Viongozi Watumishi na Taasisi ya Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mkutano wa Mazingativu unaoendelea Jijini Arusha.
Mkutano unaolenga katika kuongeza Ufanisi na uwajibikaji katika utendaji wa kazi ikiwa ni pamoja na Uratibu wa Shughuli za Serikali.
No comments:
Post a Comment