SERIKALI KUTEKELEZA MRADI WA UANZISHWAJI WA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, August 7, 2023

SERIKALI KUTEKELEZA MRADI WA UANZISHWAJI WA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA.


Matukio ya picha ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Unguja, pamoja na Taasisi zake Zanzibar kwenye kikao kazi cha kutoa uelewa kwa wadau wa Zanzibar kuhusu Mradi wa Huduma Pamoja na uanzishwaji wa Mfumo wa Utambuzi wa Kidijitali kwa kutumia Jamii Namba.



Na Mwandishi wetu 

Matukio ya picha ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Unguja, pamoja na Taasisi zake Zanzibar kwenye kikao kazi cha kutoa uelewa kwa wadau wa Zanzibar kuhusu Mradi wa Huduma Pamoja na uanzishwaji wa Mfumo wa Utambuzi wa Kidijitali kwa kutumia Jamii Namba.

Leo tarehe 7/08/2023 Wizara imefanya Kikao Kazi cha wadau kutoa uelewa kuhusu mradi wa Huduma Pamoja na Uanzishwaji wa Mfumo wa Utambuzi wa Kidijitali kwa kutumia Jamii Namba kkkwa Taasisi za Serikali Zanzibar.

Serikali inatakeleza mradi wa Uanzishwaji wa Vituo vya Huduma Pamoja ambao ni Mpango wa utoaji Huduma kwa Mwananchi katika sehemu moja (One Stop Service Centre - OSSC). Lengo la OSSC ni kuwezesha huduma zote zinapatikana katika dirisha moja " One Roof Single Window" .

Lengo la Serikali ni kufikia masuala muhimu ya utekelezaji ni uunganishaji wa mifumo na kuboresha michakato ya utoaji huduma pamoja na kuandaa Namba maalum ua mpokkea huduma (Jamii Namba) kufanya mapitio mbalimbali ya Sheria zinazoguswa na utoaji wa huduma hizo sehemu moja kwenye jamii.

Kikao kazi kiliongozwa na  Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Mifumo na Huduma za TEHAMA (DISDS) Bw, Mohammed Mashaka wa Wizara ya Habari.Mawasiliano na Teknlojia ya Habari Tanzania bara. tarehe 7/08/2023 Wizara imefanya Kikao Kazi cha wadau kutoa uelewa kuhusu mradi wa Huduma Pamoja na Uanzishwaji wa Mfumo wa Utambuzi wa Kidijitali kwa kutumia Jamii Namba kwa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.


Serikali inatakeleza mradi wa Uanzishwaji wa Vituo vya Huduma Pamoja ambao ni Mpango wa utoaji Huduma kwa Mwananchi katika sehemu moja (One Stop Service Centre - OSSC). Lengo la OSSC ni kuwezesha huduma zote zipatikane katika dirisha moja " One Roof Single Window" .



Lengo la Serikali ni kufikia masuala muhimu ya utekelezaji ni uunganishaji wa mifumo na kuboresha michakato ya utoaji huduma pamoja na kuandaa Namba maalum ya mpokea huduma (Jamii Namba) kufanya mapitio mbalimbali ya Sheria zinazoguswa na utoaji wa huduma hizo sehemu moja kwenye jamii.



Kikao kazi hicho kiliongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Mifumo na Huduma za TEHAMA (DISDS) Bw, Mohammed Mashaka wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknlojia ya Habari Tanzania bara.


No comments:

Post a Comment