Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika ofisi yake ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa hatua zinazochukuliwa kuzuia na kujiandaa kukabiliana na maafa kwa kamati ya usimamizi wa maafa mkoani humo.
Saturday, November 25, 2023
New
MATUKIO KATIKA PICHA: NAIBU WAZIRI NDERIANANGA ATETA NA MKUU WA MKOA WA RUVUMA KANALI LABAN THOMAS KUHUSU MASUALA YA MAAFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment