Serikali kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa imepokea msaada wa Magodoro 20 ikiwa ni msaada wa kibinadamu kwa wathirika wa maafa ya maporoko ya tope na mawe huko Wilayani Hanang.
Msaada huo wenye thamani ya Tsh 2,300,000/= umetokana michango ya wanachama wa Taasisi ya Mhe. DKT. SAMIA NA JAMII ULIPO YUPO.
Msaada huo ni kwa lengo la kuendelea kuunga juhudi za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania za kusaidia waathirika wa Maafa ya Maporomoko ya Tope na Mawe kutoka mlimwa Hanang mkoani Manyara
Msaada huo ulitolewa tarehe tarehe 13/12/2023
kuwasilishwa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang
No comments:
Post a Comment