HABARI PICHA : MWILI WA HAYATI LOWASSA UKIWASILI VIWANJA VYA KARIMJEE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, February 13, 2024

HABARI PICHA : MWILI WA HAYATI LOWASSA UKIWASILI VIWANJA VYA KARIMJEE

Mwili wa Hayati Edward Lowassa Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ukiwasili katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam tarehe 13 Februari, 2024 kwa ajili ya viongozi na wananchi kuaga mwili rasmi.
Baadhi ya wanafamilia wa Hayati Edward Lowassa Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania wakiwasili katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam tarehe 13 Februari, 2024 kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuaga mwili rasmi.

No comments:

Post a Comment