DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, March 11, 2024

DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko
(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba
(wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili
masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili.

Kikao kimefanyika jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2024 na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ( wa Pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ( wa Kwanza kulia).

No comments:

Post a Comment