CAPTAIN G. HABASH ALAZWA JKCI KWA TATIZO LA SHINIKIZO LA DAMU. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, April 5, 2024

CAPTAIN G. HABASH ALAZWA JKCI KWA TATIZO LA SHINIKIZO LA DAMU.


Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).


Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

No comments:

Post a Comment