Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB) (wa pili kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Zanzibar Dkt. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu El Maamry Mwamba, (katikati) Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru (wa kwanza kulia), Kamishna wa Fedha za Nje, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Zanzibar Bw. Yussuf Ibrahim Yussuf baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), uliofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Nairobi-Kenya)
|
No comments:
Post a Comment