UWT YATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYA YA KIBITI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, April 18, 2024

UWT YATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYA YA KIBITI.



Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Aprili 17, 2024 wamekabidhi msaada wa Chakula na mahitaji maalum kwa waarhirika wa mafuriko wilayani Kibiti.


Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge.


Akizungumza Mwenyekiti Chatanda amesema Jumuiya ya UWT inatoa salamu za pole kwa wahanga wa mafuriko hayo,Serikali na Watanzania kwa ujumla na kwamba imepokea kwa huzuni kubwa taarifa za athari zilizotokana na mafuriko hayo.











No comments:

Post a Comment