DKT. BITEKO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NJOMBE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, May 26, 2024

DKT. BITEKO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NJOMBE


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akitembelea mabanda mbalimbali katika hafla maalum ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) inayofanyika leo katika uwanja wa Stendi ya zamani ya Mabasi Mkoani Njombe.

No comments:

Post a Comment