DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KILIMANJARO. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, June 6, 2024

DKT. NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KILIMANJARO.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Himo Njiapanda, Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro, leo Alhamis Juni 6, 2024, aliposimama kuwasikiliza wananchi hao, wakati yeye na msafara wake, walipopita hapo kuelekea Wilaya za Mwanga na Same, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku nne, mkoani humo, iliyoanza tangu Juni 4, 2024, kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025, kuhamasisha uhai wa Chama na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia majawabu.










No comments:

Post a Comment