|
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo mafupi alipotembelea Banda la Mkemia Mkuu wa Serikali (EGLA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana. |
|
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo mafupi kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama alipotemebelea katika Banda la Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA). |
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa ofisi yake Mhe. Ummy Nderiananga katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana. |
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na makundi mbalimbali ya waandamanaji katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana. |
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na makundi mbalimbali ya waandamanaji katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana. |
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi katika Maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana. |
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akiteta jambo na CP. Salumu Hamduni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU(kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Laban Kihongosi (Kulia) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana. |
|
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiteta Jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Ndg. Ally Senga Gugu katika Maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya Duniani 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa Nyamagana.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU) |
Waziri Mkuu aongoza wananchi katika Maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita dawa za kulevya Duniani 2024
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024.
Madhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Nyamagana Tarehe 30 Juni, 2024 yakiongozwa na kauli Mbiu isemayo: "Wekeza Kwenye Kinga na Tiba Dhidi ya Dawa za Kulevya”
No comments:
Post a Comment