|
Makamu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Canute Hyandye, akisaini kitabu cha wageni, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, ambapo taasisi yake ni miongoni mwa taasisi 16 za Wizara ya Fedha zinazoshiriki Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja. |
|
Afisa Mwandamizi wa Idara ya Uendelezaji wa sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu ya fedha kwa Bi. Susan Masalla na Bw. Omari Haji, walipotembelea Banda la Wizara ya Fedha wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. |
|
Afisa kutoka Kitengo cha Maktaba, Wizara ya Fedha, Bw. Tumaini Katabazi (kushoto), akitoa elimu ya masuala ya maktaba kwa Rehema Msangira, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. |
|
Afisa kutoka Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bw. Dickson Mollel, akitoa elimu ya masuala ya ugavi kwa Christopher Mageni, wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. |
|
Afisa Mwandamizi wa Idara ya Uendelezaji wa sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akitoa elimu ya fedha kwa Bw. Joseph Matara, alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. |
|
Afisa kutoka Mfuko wa Dhamana na Uwekezaji Tanzania (UTT AMIS), Bi. Samia Ally (kulia) akitoa elimu ya uwekezaji kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. |
|
Wataalamu kutoka Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), wakiwa tayari kutoa elimu kuhusu Bodi hiyo, katika Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024. |
|
Makamu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Canute Hyandye, (katikati) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi kutoka Chuo hicho, baada ya kutembelea Banda la Wizara ya Fedha, ambapo taasisi yake ni miongoni mwa taasisi 16 za Wizara ya Fedha zinazoshiriki Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha) |
Na Mwandishi, Wetu Dar es Salaam
Wizara ya Fedha na Taasisi zake zimeanza kutoa elimu ya umma kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024.
No comments:
Post a Comment