Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati ya Usimamizi cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichohusisha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na Wataalam wa Wizara na Taasisi zinazotekeleza Programu hiyo, Tarehe 16 Julai, 2024 Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa (kulia) akichangia jambo wakati wa Kikao cha Kamati ya Usimamizi cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichohusisha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na Wataalam wa Wizara na Taasisi zinazotekeleza Programu hiyo kilichofanyika Tarehe 16 Julai, 2024 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wakifuatilia hoja wakati wa Kikao cha Kamati ya Usimamizi cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichohusisha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na Wataalam wa Wizara na Taasisi zinazotekeleza Programu ya AFDP.
Mratibu wa Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Salimu Mwinjaka akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Kamati ya Usimamizi cha Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) kilichohusisha Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na Wataalam wa Wizara na Taasisi zinazotekeleza Programu hiyo kilichofanyika Tarehe 16 Julai 2024 Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment