KATIBU MKUU WA CCM DKT. NCHIMBI AWASILI FURAHISHA KWA UZINDUZI WA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MWANZA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 20, 2024

KATIBU MKUU WA CCM DKT. NCHIMBI AWASILI FURAHISHA KWA UZINDUZI WA KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MWANZA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho katika ngapi ya mkoa.

No comments:

Post a Comment