RAIS SAMIA AWASILI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MSUYA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, May 12, 2025

RAIS SAMIA AWASILI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MSUYA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yatakayofanyika Kesho (13 Mei, 2025) Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro.


No comments:

Post a Comment