
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amejitosa tena kwa mara nyingine kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi - CCM baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge leo Juni 28,2025


No comments:
Post a Comment