MAJALIWA KUTOGOMBEA UBUNGE RUANGWA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, July 2, 2025

MAJALIWA KUTOGOMBEA UBUNGE RUANGWA


Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025.

Dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu CCM za udiwani na ubunge lilifunguliwa kuanzia Juni 28, 2025 na linafungwa saa 10:00 jioni ya leo Jumatano, Julai 2025.

Uamuzi wa Majaliwa umetangazwa leo Jumatano na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, Abbas Makwetta ambaye amesema:"Mheshimiwa Majaliwa amekuja na kusema hagombei tena ubunge."

No comments:

Post a Comment