
NA.MWANDISHI WETU - DAR ES SALAAM.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea katika banda la Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zake ili kupata elimu kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SABASABA yanayoendelea Jijini Dar es Salaam yenye Kauli Mbiu inayosema “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa sabasaba, Fahari ya Tanzania” leo tarehe 02 Julai, 2025.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)








No comments:
Post a Comment