
Umati wa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumamosi Septemba 13, 2025 kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeendelea na kampeni zake Mkoani humo kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.




No comments:
Post a Comment