Wananchi wa Wilaya ya Chake Chake pamoja na vitongoji vya jirani Visiwani Pemba wakimsubiri kwa shangwe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa na mkutano wa kampeni katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo Jumamosi tarehe 20 Septemba, 2025.
Saturday, September 20, 2025
New
CHAKE CHAKE WAMSUBIRI KWA SHAUKU DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment