DKT. SAMIA AHANI MSIBA WA ABBAS ALI HASSAN MWINYI, UNGUJA VISIWANI ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 26, 2025

DKT. SAMIA AHANI MSIBA WA ABBAS ALI HASSAN MWINYI, UNGUJA VISIWANI ZANZIBAR



Mgombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo pamoja na kumfariji Mama Siti Mwinyi pamoja na familia ya hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipofika Bweleo Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Unguja kwaajili ya kuifariji familia hiyo kufuatia kifo cha Kaka yao Hayati Abass Ali Mwinyi leo Ijumaa Septemba 26, 2025.

No comments:

Post a Comment