DKT. SAMIA AKIWASILI KWENYE VIWANJA VYA IPULI, TABORA MJINI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 12, 2025

DKT. SAMIA AKIWASILI KWENYE VIWANJA VYA IPULI, TABORA MJINI


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Ipuli mkoani Tabora tarehe 12 Septemba, 2025. Dkt. Samia atahitimisha ziara yake ya siku mbili Mkoani humo, akiitumia kwaajili ya kufanya Mikutano ya kampeni ili kueleza mafanikio ya serikali yake ya awamu ya sita na yale aliyopanga kuyafanya ikiwa atachaguliwa tena kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.







No comments:

Post a Comment