HIVI NDIVYO DKT NCHIMBI ALIVYOPOKEWA KWA KISHINDO LONGIDO,ARUSHA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 12, 2025

HIVI NDIVYO DKT NCHIMBI ALIVYOPOKEWA KWA KISHINDO LONGIDO,ARUSHA.


MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amepokewa kwa kishindo alipowasili kwenye uwanja wa Polisi,Longido kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa kampeni leo Ijumaa Septemba 12,2025.

Mara baada ya kuwasili ,Balozi Nchimbi alikaribishwa kwa kuvalishwa vazi la heshima  kutoka kwa viongozi wakuu wa kimila wa Kabila la Kimasai  (Malaigwanani).

No comments:

Post a Comment