TABORA MJINI WAJITOKEZA KWA WINGI MKUTANO WA DKT. SAMIA VIWANJA VYA IPULI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, September 12, 2025

TABORA MJINI WAJITOKEZA KWA WINGI MKUTANO WA DKT. SAMIA VIWANJA VYA IPULI


Sehemu ya Wananchi wa Tabora Mjini Mkoani Tabora waliojitokeza kwa wingi leo Ijumaa Septemba 12, 2025 kuhudhuria na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anayefanya mkutano wake wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Ipuli mkoani Tabora tarehe 12 Septemba, 2025, ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya Kampeni zake Mkoani humo.





No comments:

Post a Comment